Search in This Blog

VITU VYA KISHIRIKINA VYAKAMATWA HUKO MOMBASA

Kontena ambalo lilikuwa na vitu vya nyumbani limekamatwa likiwa na bidhaa nyingine za ajabu ajabu kama vile mafuvu ya watu na vitu vingine vya kutisha ambavyo hutumika kwenyemambo ua kishirikina(kishetani)Mzigo huona vitu vingine bado unashiliwa na maafisa wa polisi. Angalia mwenyewe uone mambo yalivyokuwa



 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger