ANGALIA MITAA MBALIMBALI YA KARIAKOO ILIVYOKUWA WAKATI WA MGOMO WA WAFANYABIASHARA
WAFANYABIASHARA jijini Kariakoo Dar es Salaam, leo wamefunga maduka yao na kususia kulazimishwa kutumia mashine za kutoza kodi kutoka mamlaka ya mapato nchini TRA. Wakizungumza na mtandao huu wafanyabiashara hao wamepinga kitendo cha kuuziwa mashine hizo kwa shilingi laki 8 pamoja na kutozwa kodi kutokana na mauzo.
-gpl