Mreno
Cristiano Ronaldo amezidi kuonyesha ubora wake katika mechi iliyomkutanisha uso kwa uso na mkali wa ligi ya ufaransa, Msweden
Zlatan Ibrahimovic alipotumbukiza mpira nyavuni kwa
kichwa katika dakika ya 82.
mchezo wa marudiano ndio utaamua ni nani anayeenda Brazil kati ya Cristiano Ronaldo na Zlatan Ibrahimovic.
Mataifa makubwa yalipokutana: Mreno Cristiano Ronaldo (kushoto) na Msweden Zlatan Ibrahimovic wakipeana mikono kabla ya mchezo kuanza |
Zlatan Ibrahimovic mwenye uwezo wa kipekee,anawakilishaTaifa kubwa la Sweden katika kutafuta nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia |
Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo alifanya yake na kushinda katika usiku muhimu |
Zlatan Ibrahimovic, kama kawaida, anaonekana yoko tayari kupambana kwa ajili ya ushindi |
Kuchanganyikiwa: Cristiano Ronaldo alipewa KADI ya njano usiku wa jana |
Mashabiki wa Sweden bado wanayo nafasi Aidha ya kukaribishwakatika Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil |
Lakini kuna hoja kwa Ureno kuonesha cheche zaidi katika mechi ya marudiano |
Si pua! Zlatan Ibrahimovic anaonekana kulinda pua yake wakati Cristiano Ronaldo akipiga free-kick |
VIDEO YA GOLI
Portugal: Patricio, Pereira, Coentrao, Veloso, Pepe, Regufe Alves, Meireles, Moutinho, Postiga, Nani, Ronaldo
Subs
not used: D Carvalho, Almeida, R Carvalho, Pereira, Na Bangna, Moreira
da Costa, Neto, Varela, Antunes, Josue, Bastos Pimparel, Macedo Lopes
Goal: Ronaldo 82
Sweden: Isaksson, Lustig, Olsson, Elm, Nilsson, Antonsson, Larsson, Kallstrom, Ibrahimovic, Elmander, Kacaniklic
Subs
not used: Olsson, Svensson, Wiland, Gerndt, Granqvist, Wernbloom,
Bengtsson, Johansson, Toivonen, Durmaz, Zengin, Nordfeldt
Refa: Nicola Rizzoli
MATOKEO YA MECHI ZINGINE
World Cup - UEFA Qualification Play-Off November 15 |
---|
FT | Ukraine | 2 - 0 | France |
---|
61' Roman Zozulya
82' (pen.) Andriy Yarmolenk
KIKOSI Ukraine:
Pyatov, Khacheridi, Shevchuk, Fedetskiy, Kucher, Yarmolenko,
Stepanenko, Konoplyanka (Gusev 90), Rotan, Edmar (Bezus 76), Zozulya
(Seleznyov 86). Subs Not Used: Koval, Dedechko, Tymoschuk, Mandzyuk,
Morozyuk, Sydorchuk, Rakitskiy, Devic, Khudzamov.
Kdi nyekundu: Kucher (90).
Kadi ya njano: Shevchuk,Fedetskiy,Kucher.
Wafungaji: Zozulya 61,Yarmolenko 83 pen.
Kikosi cha France:
Lloris, Debuchy, Abidal, Koscielny, Evra, Nasri (Valbuena 80), Matuidi,
Pogba, Giroud (Benzema 70), Ribery, Remy (Sissoko 64). Subs Not Used:
Mandanda, Mavuba, Sakho, Cabaye, Clichy, Grenier, Sagna, Payet,
Landreau.
Kadi nyekundu: Koscielny (90).
Kadi ya njano: Giroud,Sissoko.
Waliohudhulia: 67,732
Refa: Cuneyt Cakir (Turkey)
VIDEO YA MABAO
FT. Greece | 3 - 1 | Romania |
---|
14' Konstantinos Mitroglou |
---|
21' Dimitrios Salpingidis |
---|
67' Konstantinos Mitroglou |
---|
Bao la Romani lilifungwa na Bogdan Stancu dakika ya 19
KIKOSI GREECE: Karnezis,
Torosidis, Holebas, Tziolis, Siovas, Papastathopoulos, Maniatis
(Karagounis 77), Katsouranis, Mitroglou (Geka 80), Salpingidis, Samaras
Akiba wasiotumika: Tzavellas, Manolas, Samaris, Vyntra, Kapino, Sifakis, Christodoulopoulos, Ninis, Fortounis, Tachtsidis
Kadi za njano: Siovas, Katsouranis
Wafungaji: Mitroglou 14, 66, Salpingidis 21
KIKOSI CHA ROMANIA: Lobont, Matel, Rat, (Bourceanu 75), Lazar, Goian, Gardos, Cocis, Tanase (Maxim 87), Marica, Stancu, Torje (Grozav 75)
Akiba wasiotumika: Luchin, , Pantilimon, Grigore, Latovlevici, Nicolita, Gaman, Niculae, Hoban, Keseru
Kadi za njano: Bourceanu, Goian, Cocis, Rat
Kadi nyekundu: Lazar
Wafungaji: Stanco 19
Refa: Pedro Proença
Waliohudhulia: 28,200
VIDEO YA MABAO
FT | Iceland | 0 - 0 | Croatia |
Akiba wasiotumika: Gunnleifsson, Jonsson, Jónasson, Jónsson, Ottesen, Pálsson, Danielsson, Smárason, Bjornsson, Hallfredsson,
Kadi nyekundu: Skulason
KIKOSI CHA CROATIA: Pletikosa, Srna, Pranjic, Modric, Corluka, Simunic, Ilicevic (Olic 45), Rakitic, Mandzukic (Benko 87), Eduardo (Rebic 72), Perisic
Akiba wasiotumika: Vrsaljko, Lovren, Males, Kalinic, Schildenfeld, Badelj, Kranjcar, Kovacic, Subasic
Refa: Alberto Undiano Mallenco
Waliohudhulia: 9,768