Search in This Blog

BAADA YA MAISHA KUWA MAGUMU WACHINA SASA NAO WAINGIA BONGO MOVIES

Baada ya kumuingiza shabiki maarufu wa yanga football club “Steven” sasa Dr Cheni afanya mabadiliko makubwa ya bongo movie baada ya kumuweka mchina kwenye movie yake mpya.

Moja ya scenes ambazo mchina huyo amecheza ni sehemu ambayo amefumaniwa akiwa Guest. 

Tuliamua kumtafuta Mchina huyo Mr. Chaoxiang Deming ( 朝翔 德明  ) kujua kwanini kwanini amemua kujiingiza kwenye tasnia ya filamu nchini na alidai kuwa kwa sasa biashara imekuwa ngumu kidogo hivyo sio mbaya akajaribu kufanya mambo mawili matatu kuongeza kipato

Tazama scene hiyo alizoigiza mchina huyo
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger