Search in This Blog

"KAMA TUNALITAKIA AMANI TAIFA HILI LAZIMA BAADHI YA WATU WAPELEKWE MILEMBE KWA NGUVU" HAYA NI MANENO YA MENGI

reginald mengi
Bilionea reginald mengi ameandika twitter jana kuwa kama tunalitakia amani hili taifa basi ni lazima watu flani wapelekwe milembe kwa nguvu na sio kwa hiari yao.
Je,unadhani mengi anataka watu gani wapelekwe milembe na kwa sababu gani?? Karibuni
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger