WANAIGERIA WAMPONDA DIAMOND KWA KUVAA VIBAYA KWENYE HARUSI YA PETER WA P-SQUARE
So Diamond Platnumz jana alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria harusi ya kimila ya Peter Okoye wa kundi la P-Square na mchumba wake, Lola Omotayo iliyofanyika jijini Lagos, Nigeria.
Kwenye harusi hiyo, Diamond alipata nafasi ya si tu kushuhudia Peter na Lola wakisema ‘Yes I do’ bali pia aliweza kuchill na cream ya mastaa wa Afrika wakiwemo Iyanya na mchezaji wa timu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor.
Alipata pia fursa ya kuwaonesha Adebayor na Iyanya style yake ya kucheza ya Ngololo
Hata hivyo, kitu kimoja hakikwenda sawa. Ni nguo aliyokuwa ameivaa, ambayo iligeuka gumzo kwa mashabiki wengi wa muziki nchini Nigeria waliosema kachemka.
Issue ilikuwa hivi, Iyanya alipost picha akiwa na Diamond pamoja na jamaa mwingine na kuandika: With @ubifranklintriplemg @diamondplatnumz after @peterpsquare trad.”
Polisi jamii wa masuala ya mitindo, wakamweka kitimoto:
[ @ ] chickchuky d dude in d middle…wat d hell,,,see men standing beside u…abeg shuuuuuuuuuu I love @iyanya
[ @ ] oakis2000 Whats with the micheal jackson style pant in the middle lol 13h
[ @ ] iamzarajays The object in the middle though…. Dear father forgive me for I have sinned.. Sighs
[ @ ] iheart_swk Sorry no hating but it doesnt suites ur muscular bodi well well darling
[ @ ] genovan @dimondplatinumz u shud get personal designer…..that outfit…i kno u copy t 4m ur role model…..she was looking gud tho in those pictures she took when she landed 4m China..unlike u…….u absolutely looks like joker.
[ @ ] agathonyjohn He is east africa michael jackson @chickchuky ..from Tanzania ain’t he dope?
[ @ ] zinwaogb Wow he can sing, just watched his number one video on YouTube, I can’t hate on talent nice one diamond
[ @ ] nikkipollo139 Iyanya u look gorgeous n ubifranklintriplemg but diamond please go change ur cloths for pits sake
[ @ ] kagebby Daimond ulivyovaaaa utafikiria clown……Sasa daimond unatuangusha ndungu….Iyany……sio mbaya ila Daimond anakuj kukufunikaaaaa balassaaa 7h
[ @ ] clarahcut3 @dhahabu87 please stop defending whats not right, the clothes are nice but not good for him, so he should know that not every good cloth will look good with him, and those are among the clothes that dont look good on him, even if he is my fellow Tanzanian but he dont look good and he bored me for real he could atleast ask before getting out @genovan @mwatumu37 looking great brother @iyanya
[ @ ] ngozi80 4 God sake they should have a fashion adviser someone who can give them sone fashion skills b4 going out or 4 red carpet 2