Timu ya Cameroon imekata tiketi kushiriki
Fainali za Kombe la Dunia zitakazopigwa Brazil 2014 baada ya kuilaza
Tunisia bao 4-1 hapo jana! Wafungaji: Cameroon; Pierre Achille Webo (Dk 4), B. Moukandjo (Dk 30), Jean II Makoun (Dk 66 na 86). Misri: Ahmed Akaichi (Dk 51).