Msanii wa filamu Kajala Masanja
atahukumiwa upya Novemba 25 mwaka huu, baada ya mumewe kukata rufaa.
Hukumu ya rufaa ilibidi isomwe leo katika Mahakama Kuu jijini Dar es
Salaam lakini imeahirishwa baada ya Jaji aliyetakiwa kusoma hukumu hiyo
kupata hudhuru!
GPL