Search in This Blog

MAKAHABA NA WATEJA WAO, WOTE KWA PAMOJA WAFIKISHWA MAHAKAMANI BAADA YA KUKAMATWA YA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Wanawake wanaodaiwa kufanyabiashara ya ukahaba wakiwa Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni. Oparesheni ya kuwakama wanawake hao inafanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni.
Vijana waliokamtwa wakidaiwa kukutwa wakifanya mapenzi na wanawake hao wakificha sura zao wasipigwe picha.

Dismiss
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger