Maandamano yalipofika Kigogo Mbuyuni.
Waandamanaji wakiwa na picha ya mmoja wa viongozi wao.
Msafara wa kinamama.
Waumini wa dini ya kiislamu leo waliandamana kwenye kona mbalimbali
za jijini la Dar es Salaam kulaani mauaji ya kionevu aliyofanyiwa
mwenzo, Himam Hussein nchini Iraq