Mr Chuz nakupa big up kwa kazi zako, je, umeshaoa maana
ulikuwa na tabia ya kutembea na wasanii wako? Mdadisi Mambo blog
MR CHUZ: Nashukuru kwa pongezi, kuoa bado na sina historia ya kutembea na wasanii wangu.
MSAADA KWENYE TUTA
Naomba kuwa msanii kwani nina kipaji ila sijampata wa kunitoa, nisaidie kama hutajali kwani napenda kuwa staa wa filamu kama wewe. Asha, Dar, 0652219182
MR CHUZ: Nitafute kwa namba yangu hii 0655349000
MUUZA MITUMBA!
Chuz mimi nakujua kabla ya sanaa ulikuwa unauza mitumba, tulikuwa wote pale Boma mimi, wewe, Digonza na Dude, unakumbuka? Mudy Madiley, 0652672805
MR CHUZ: Ni Kweli.
KUTUPIA NUSU UTUPU
Mr Chuz unazungumziaje suala la wasanii wa kike wa Bongo Movies kutupia nguo za nusu utupu? Salim Liundi, Dar, 0658110395
MR CHUZ: Suala hilo halinifurahishi hata kidogo ila unakuta ni hulka ya mtu, hakuna cha kufanya.
YEYE NA JINI KABULA
Mr Chuz kuna tetesi kwamba ulivyomuacha Jini Kabula (mwigizaji Miriam Jolwa) baadaye akawa ana mchumba’ke ulikwenda kumfanyia vurugu, vipi kuhusu hilo? Issa Chongono, Tanga, 0714455748
MR CHUZ: Katika maisha yangu sipendi vurugu na sijawahi kufanya hivyo.
KWA NINI ALIACHANA NA KABULA?
Kaka Chuz ni kipi kilichokusibu mpaka ukaachana na Kabula? Ezekiel Amon, Mbeya, 0764987321
MR CHUZ: Yalikuwa ni makubaliano na maelewano tu lakini tunashukuru kwa sababu tuna mtoto, inawezekana Mungu ndiye alipanga iwe hivyo.
ANATOKA NA WASANII WAKE?
Mr Chuz hivi ni kweli akija kwako msanii wa kike kuigiza ni lazima utoke naye kimapenzi ndipo umpe chansi? Sostiner, 0714616120
MR CHUZ: Haijawahi kutokea.
UFUSKA
Kwa nini mkishakuwa maarufu, umalaya na ufuska inakuwa tabia yenu? Msomaji, 0768365105
MR CHUZ: Siyo wote ni tabia tu za mtu, mbona wapo wengi tu wanaojiheshimu? Mimi pia ni mmoja wao.
ANA WATOTO WANGAPI?
Mr Chuz mimi ni mmoja wa mashabiki wako ila napenda kujua hivi una watoto wangapi mpaka sasa? Faisal Juma, Singida, 0753894664
MR CHUZ: Watatu.
ANAMTAFUTA
Mr Chuz nakutafuta sana niliwahi kukusaidia hoteli Kinondoni B katika Filamu ya Red Flower, kiukweli wewe mkarimu usibadilike kaka. Msomaji, 0755371404
MR CHUZ: Ninashukuru sana, nitafute kwa namba yangu hapo juu.
URAFIKI
Nimjuavyo Mr Chuz anajua kuigiza, naomba tuwe marafiki wa ukweli. George, Dar, 0656314282
MR CHUZ: Nashukuru kwa kunikubali na karibu sana.
FREEMASON?
Kaka Chuz nakupa big up kwa kazi zako nzuri, eti nilisikia umejiunga na Freemason, je, ni kweli? Rama, Tanga, 0656907070
MR CHUZ: Sijui ndiyo nini wala sihusiki, nitatafuta fedha kwa nguvu zangu mpaka nitakapokufa.
OA SASA
Ushauri wangu kwako funga ndoa ili ujenge heshima yako. Zangira, Dar, 0687014374
MR CHUZ: Asante kwa ushauri natarajia kufanya hivyo hivi karibuni.
AMUOE JINI KABULA?
Mimi nakukubali sana Mr Chuz ila nakushauri uachane na tabia ya kubadilisha wanawake kila kukicha kama ikiwezekana umrudie Jini Kabula muoane ili mpate muda wa kumlea mtoto wenu kwani mnaendana sana. Wilifredi Leo, Dar, 0719213603
MR CHUZ: Nashukuru nitaufanyia kazi ushauri wako.