MSANII DR JOHN AFIWA NA MKE WAKE.
Habari zilizotufikia ni kua mke wa DR John mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Wagosi wa kaya amefariki dunia siku ya leo. Tunaendelea kutafuta mawasiliano na mwakilishi wetu ambaye atatuunganisha na DR John ili tuweze kuwaletea habari kamili. Bongoclan inatoa pole sana kwa familia ya DR John.