Search in This Blog

RAIS WA TFF MALINZI AMPA SIKU 14 RAGE KUITISHA MKUTANO WA DHARURA KUANZIA SIKU YA LEO

Rais wa TFF, Jamali Malinzi.
Rais wa TFF, amempa Ismail Rage kuitisha mkutano mkuu wa dharura ndani ya siku 14 kuanzia leo kujadili mgogoro wa kiungozi unaoendelea klabuni hapo.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger