Nimeinyaka hii video na nafikiri ni
vizuri kushare nanyi wadau wangu wa Mdadisi Mambo Blog kupata mawazo yenu juu ya
hili swala la mashoga maana inaenea kwa kasi sana duniani!!!
Hili janga limetokea s7outh africa miaka 2
iliyopita......Nimeliweka hapa kwa makusudi leo kwa sababu nimeguswa
kwa kupigwa huyu SHOGA na mwishowe kuchomwa moto kwa sababu ya USHOGA.
According to reports (mashuhuda), the mob claimed that the man is H*mos*xual and does not deserve to live!("shoga hastaili kishi duniani"...mashuhuda walisema hivyo)
KWA KUWA KILA MMOJA ANA MAWAZO/FIKRA ZAKE ZA KIPEKEE....
NDUGU WASOMAJI,,,,,
JE??? ADHABU ALIYOPEWA NI SAHIHI???1