Search in This Blog

WAFANYABIASHARA WENYE MADUKA KARIAKOO WAGOMA KUFUNGUA MADUKA ILI KUPINGA UAMUZI WA TRA

Wafanyabishara ambao wanamiliki maduka maeneo yote ya kariakoo leo asubuhi wameweka mgomo wa pamoja wakutofungua maduka yao wakipinga uamuzi wa TRA kutaka kila duka kuwa na mashine.
Mitaa yote ya Kariakoo, Msimbazi, Uhuru, Lumumba, Aggrey, Mchikichi, Narung'ombe, Tandamti, Congo, kote maduka yamefungwa baada ya kutangaziwa na umoja wa wafanyabiasha.

Wafanyabishara wanapinga bei kubwa ya mashine ambayo ni milioni moja mpaka lakini nane.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger