.
Akizungumza na Maskani Bongo Msanii huyo akiwa nyumbani kwake alisema kuwa ajali aliyoipata kipindi cha nyuma imemrudisha sana nyuma katika kazi zake na kutafuta maendeleo katika familia yake, ajali hiyo inamfanya ashindwe kuwa hata na furaha kwenye jamii inayomzunguka.