Fabio Borini akishangilia baada ya kuifungia Sunderland bao la pili kwa njia ya penalti kipindi cha pili dakika ya 64.
Nemanja Vidic wa Manchester United akifunga bao la kusawazisha kwa timu yake na kufanya matokeo kuwa 1-1 katika dakika ya 52.
Timu ya Manchester United imepokea kipigo
kingine cha bao 2-1 kutoka kwa Sunderland katika mechi ya Nusu Fainali
Kombe la Capital One na kuwa mchezo wa tatu kufungwa timu hiyo mfululizo
baada ya awali kufungwa na Tottenham na Swansea katika Ligi Kuu ya
England na Kombe la FA. Mechi ya marudiano itapigwa Old Trafford Januari
22 mwaka huu.
Nemanja Vidic wa Manchester United akifunga bao la kusawazisha kwa timu yake na kufanya matokeo kuwa 1-1 katika dakika ya 52.