BREAKING NEWS: BOMU LAONEKANA ARDHINI HUKO SHEKILANGO JIONI HI
BOMU LAONEKANA MAKUTANO YA BARABARA ZA MOROGORO NA SHEKILANGO LIMEJICHIMBIA ARDHINI MAENEO HAYO HIVI SASA .
POLISI WAMESHAFIKA MAENEO HAYO NA WAKO TAYARI KWA HATUA ZAIDI... BARABARA ZIMEFUNGWA