HATMA YA ZITTO KABWE CHADEMA KUJULIKANA KESHO SAA NANE
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.
Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa au kutotoa zuio la muda
kwa Kamati Kuu ya Chadema kutojadili uanachama wa Zitto Kabwe mpaka
kesho saa nane mchana!