Basi
la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali
usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa
miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha.
Mashuhuda wanahisi kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani
abiria wakitafuta vitu vyao