HII NDIO HEKAHEKA INAYOMHUSU MAMA WA DIAMOND PLATNUMZ
Mama
yake Diamond Platnumz leo July 11 alikua kwenye kipindi cha Leo Tena
kutoka Clouds Fm na alipata nafasi ya kutoa Hekaheka yake ambayo inahusu
maisha yake pamoja na Diamond Platnumz kwenye malezi yake mpaka hapo
alipo Diamond kwa sasa.