Pamoja na yote waliyopitia bado kalamu za Waandishi mbalimbali zilihusika kuwaandika.
Ommy Dimpoz ambae ni rafiki wa Diamond
kitambo hata kabla hatawa staa (Ommy) ameshea hii picha inayowaonyesha
Wema na Diamond walipokutana kwa mara ya kwanza na kuiambatanisha na hii
caption hapa chini.