Maiti nne za marehemu ambao
walifariki papo hapo baada ya Lori hilo kugonga kilabu hicho ikiwa
imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa ya
Iringa.
Lori
la Mizigo likiwa limepaki katikati ya kilabu hicho cha pombe ambacho
kilisambalatishwa chote na chini ni mabaki ya kilabu hicho.
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo baada ya kutokea .
Baadhi ya wananchi wa Eneo la Isimila wakiwa wameongezeka kushuhudia ajali hiyo mbaya iliyouwa wata watano papo hapo.
Hivi
ndivyo Lori hilo la Mizigo lilivyo umia vibaya baada ya kugonga kilabu
hicho na kukisambalatisha usiku wa kuamkia jana na kusababisha vifo vya
watu watano papo hapo.
Baadhi ya Ndugu wa Marehemu wakipata taarifa za Ajali hiyo katika eneo la tukio Isimila.
Ndugu
wa Marehemu wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa kwa ajili ya
kutambua miili ya marehemu hao.(Picha zote na Iringa Yetu Blog).