Jiroemon Kimura wa Japan ndiye binaadamu
yeyote duniani,amekufa akiwa na mri wa miaka 116
Aliwahi kuulizwa ni nini siri ya mafanikio
yake raia huyo wa Japan alisema ni
kula chakula kidogo au kwa kiasi .
Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness
ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na
umri wa miaka 116.
Sasa binadamu mwenye umri
mkubwa kukliko wote ni raia
mwingine wa Japan Misao Okawa,
wa Osaka.
Jiroemon Kimura alizaliwa 19 april 1897 na
amefariki 11 june2013
Tunajifunza nini kwa wajapan ??