Search in This Blog

VIDEO:USHAHIDI WA MADAWA YA KULEVYA ALIOKAMATWA NAYO MSICHANA HUKO MISRI, NDIO YULE MSICHANA ALIYESEMEKANA ATANYONGWA.


Mrembo Fatma aka Brown Berry katika poseMrembo Fatma aka Brown Berry katika pose

Hizi picha ni za msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au “unga” nchini Misri. Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwaFatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanaeFatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanaeFatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake
Hapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo


Kumekua na taarifa kwamba msichana huyu amehukumiwa kunyongwa. Hata hivyo baadhi ya watu wametuma message kadhaa kwa bloggers kwenye mitandao ya kijamii kusema kwamba ni kweli ndugu yao amekamatwa lakini taarifa za hukumu ya kunyongwa sio za kweli, na hata hajahukumiwa bado

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger