STAA
mwenye sura ya mauzo kunako anga la Bongo Movies, Yobnesh Yusuf
‘Batuli’ amewatupia dongo wadada waliokuwa na mtindo wa kusafirisafiri
nje ya nchi na kuwachana kuwa sasa hivi wamebuma kutokana na msako mkali
wa serikali.
Batuli alifunguka hayo mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia akaunti yake ya mtandao wa Twitter, ambapo alitumia lugha tata kuwatupia dongo wadada wa mjini ambao walikuwa hawashikiki kwa safari na kutanua kwenye kumbi mbalimbali za starehe.
“Eti wale wadada wanaojirusha kila siku, siku hizi mbona siwaoni? Na wale waliokuwa wanasafiri kila siku nao wamepotea, ha ha haaa Sembee lol,” aliandika Batuli.
CREDIT: GPL