Kwa mujibu wa taarifa za mtandao toka kwenye kituo hicho cha TV ambazo hazijaelezea sababu hasa za kipindi hicho kuamia kwenye luninga hiyo zinasema kuwa, fans wa mwanadada hyuo wake tayari kwa ajili ya show hiyo ya kwanza na aina yake bongo.
KIPINDI CHA WEMA KUANZA KURUKA HEWANI KWENYE KITUO CHA TV CHA EATV KUANZIA MWEZI UJAO