Hizi ni moja ya CD zilizokamatwa na askari wa jeshi la polisi Mtwara ikiwemo na kuwakamata vijana 11 ambao wanadaiwa walikua
wakifanya mazoezi ya kijeshi waliyokua wakijifunza kutoka kwenye CD za
magaidi zilizokua na mafunzo kutoka kwa makundi ya Al Shabaab na Al
Qaeda.
Taarifa zaidi unaweza kuzisoma hapo chini kwenye hiyo taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi.