Search in This Blog

AJALI YA NDEGE YAUA ABIRIA 50 NCHINI URUSI.


Mabaki ya ndege aina ya Boeing 737 baada kulipuka. Magari ya kubebea wagonjwa yalionekana eneo la Uwanja wa Ndege jijini KazINI
Magari ya kubebea wagonjwa yalionekana eneo la Uwanja wa Ndege jijini Kazn, Urusi.
(Picha: Mirror News)
Watu 50 waliokuwa katika ndege aina ya Boeing 737 wamepoteza maisha baada ya ndege hiyo kulipuka wakati ikijaribu kutua jijini Kazan, Urusi ikitokea Moscow !.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger