Tumefatilia taarifa za kifo cha msanii Zay B toka taarifa hizi zianze kusamba asubuhi ya Tarehe 5/1/2014.
Taarifa hizi inasemekana zimetangazwa
na kituo cha radio Hapa Tanzania kuwa msanii Zay B Amefariki na baada
ya muda mfupi message na simu za pole zikamiminika kwa familia ya Zay B
bila kujua kinacho endelea.
tumezungumza na mmoja ya Wanafamilia ya Zay na kupata ukweli kuwa yuko hai na salama kabisa. Hii ni post yake kwenye kurasa yake ya Facebook saa mbili zilizo pita
tumezungumza na mmoja ya Wanafamilia ya Zay na kupata ukweli kuwa yuko hai na salama kabisa. Hii ni post yake kwenye kurasa yake ya Facebook saa mbili zilizo pita