Mh. Zitto Kabwe atinga Mahakamani asubuhi hii ni Baada ya Jana Kuanza kwa
Kuibwaga CHADEMA iliyowakilishwa na Wakili wake Tundu Lissu.Tofauti na
Jana Mh.Zitto alifika mahakamani na Usafiri wake,HIi leo Zitto ametinga
Mahakamani Kwa Miguu akitokea Kempisck Hotel akiongozana na Mwanasheria
Wake Alberto Mhando,Hali ya Mahakama ni Tulivu Kabisa,Watu wamejitokeza
kwa Uchache sana,Team Mbowe+Team Slaa na Team ZItto Kwa uchache wao
wanabadilishana Mawazo,hakuna mkwaruzo wowote ule hapa Mahakamani.
Picha
za ZItto akitinga Mahakamni Ingia hapa