Search in This Blog

MUONE KIBIBI KIZEE CHENYE MIAKA 100 KILICHOVUTA SIGARA LAKI 5 HUKU KWA SIKU KIKIVUTA SIGARA 15

DOROTHY HOWEDorothy Howe.
SUSSEX, Uinngereza BIKIZEE wa umri wa miaka 100 ameibuka na kusema kuwa amevuta sigara laki tano tangu akiwa msichana mdogo.


Dorothy Howe ambaye ni katibu muhtasi mstaafu kutoka Uingereza alisema alianza kuvuta sigara tangu akiwa na umri wa miaka 16 na tabia hiyo ameendelea nayo hadi leo.

Alisema kwa kuvuta kwake sigara ametumia pauni 193,000 (zaidi ya sh. milioni 400) ambapo pia hutumia pombe kali aina ya whisky katika maisha yake.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuacha kuvuta sigara ajuza huyo alisema kuwa hataacha bali ataendelea na starehe yake hiyo hadi zipande bei.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger