Search in This Blog

DAYNA NYANGE AWAPONDA WANOMSEMA VIBAYA JACKIE CLIFF...SOMA ZAIDI HAPA

Jamani Ivi ni nani kwenye USO huu wa dunia ambaye ajawai kukosea??????
Wapo binadamu wenzentu wanamakosa makuubwa Na hatuyajui na mengine yanajulikana....
Kwanini tumekuwa mstali wa mbele kuwanyooshea watu vidole pale wanapokosea Tena Na kuwaombea Mabaya....... Dah!
Tukumbuke Sisi sote ni binadamu akuna anaejua kesho yake
Sina maana tutete uovu au kosa linapoafanyika Bali tutumie muda kutafakari kabla ya kumuhumu MTU..
Wanawake wenzangu huyu ni Mwanamke mwenzetu lakini sisi ndio tumekuwa mstari wa mbele kumlaani Na kutolea maneno machafu Na hali Yakuwa tunajua hakuna alie mkamilifu
Binafsi imeniuma Na nimejiskia vibaya sana

SAWA KAFANYA KOSA
Ila tusiwe majaji wa kutoa hukumu anza kujihukumu kwa maovu yako kabla ya kumuhukumu mwenzako
Tafakari maovu yako kabla kumnyooshea kidole mwenzako

TUACHE MAMLAKA ZA SHERIA ZIFANYE KAZI YAKE


Wanawake wenzangu TUPENDANE Natuwe na umoja Tushilikiane na tushauliana katika maamuzi yetu madogo Na makubwa labda tutaepuka ili tatizo
Inawezekana haya yote yanatokea kwetu sisi kwa kukosa ushilikiano Na upendo

JACK DADA ANGU UMEKOSEA
Ila Sina sababu ya kukulaumu au kukuhukumu
wakati mwingine binaadamu ujifunza katokana Na makosa Mungu ni wetu sote inshaallah atakusimamia.

Nimeshidwa kuvumilia nimeamua kusema nilichosema ila kama Kuna nilie mkwaza
naomba Aniwie radhi.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU TUBARIKI WATANZANIA
By Dayna nyange
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger