Hapa ndipo nyumbani alipozaliwa na alipokuwa akiishi aliyekuwa waziri wa fedha na mbunge wa jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapa |
Hii
ndio nyumba ya waziri wa fedha Dr Wiliam Mgimwa iliyopo jimboni
Kalenga ambako ndipo alipozaliwa ikiwa na bendera ikipepea nusu
mlingoti TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE) |
Hii ni nyumba anayoishi mama yake ambayo ipo jirani na yake |
Wanachama wa CCM wakibadilisha bendera nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa fedha jioni ya leo .usikose kujua habari zaidi kesho juu ya maisha ya waziri Dr Mgimwa. |